Posts

Showing posts from March, 2026

Sala ya Huruma ya Mungu

ROSARI YA HURUMA YA MUNGU Baba yetu uliye Mbinguni..... Salamu Maria...... Nasadiki kwa Mungu Baba Mwenyezi, muumba mbingu na dunia. Na kwa Yesu Kristu Mwanae wa pekee Bwana wetu, aliyetungwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, akazaliwa na Bikira Maria, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu; siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa Mbinguni, amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi; kutoka huko atakuja kuwahukumu wazima na wafu. Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa takatifu Katoliki, ushirika wa Watakatifu, maondoleo ya dhambi, ufufuko wa miili, na uzima wa milele. Amina. Punje kubwa Baba wa milele, ninakutolea mwili na damu, Roho na Umungu, wa mwanao mpenzi sana Bwana wetu Yesu Kristu, kwa ajili ya malipizi ya dhambi zetu, na dhambi za dunia nzima. Punje ndogo Kwa ajili ya mateso makali ya Bwana wetu Yesu Kristu; utuhurumie sisi na dunia nzima. X10 Kumalizia Mungu Mtakatifu, Mtakatifu mwenye enzi, Mtakatifu unayeishi milele, utuhurumie sisi na du...

Unsafe Work Practices

Unsafe work practices are actions, behaviors, or failures in procedures that increase the risk of injuries, illnesses, or fatalities, often stemming from negligence, poor training, or bypassed safety protocols. Key Examples of Unsafe Work Practices 1.Neglecting Personal Protective Equipment (PPE): Failing to wear the required safety gear like helmets, gloves, overalls or goggles.  Leads severe injuries, fatal accidents, and long-term health issues.  Beyond physical harm, it reduces efficiency, and can trigger financial consequences for both employees and employers.  2.Improper Equipment Use/Maintenance:  i.e Operating machinery without authorization, using broken tools, removing safety guards, or bypassing safety mechanisms. Leads to critical injuries, significant operational downtime, and increased liability.  3.Poor Housekeeping & Organization:  involves leaving cables, clutter, or spills in the workplace. causes trip and slip hazards, results in OSH...

Workplace safety regulations

Workplace safety regulations Workplace safety regulations are essential procedures designed to prevent accidents, injuries, and fatalities by creating a secure, organized, and compliant environment. 1. Safety is everyone's responsibility and it starts with compliance. You're responsible for your own safety and the safety of others. This can only be achieved if you comply by wearing your ppe's failure to which you will be prone to injuries and accidents. 2. All accidents are preventable and irreversible- e.g. if you fall down a because of spillages in your workspace, you can't reverse that process. However you can prevent it by wearing harnessed boots 3. Follow company rules, regulations and procedures- (not to punish anyone) they are there to protect you. - you should do so willingly and encourage others to do so. 4. Assess the risks before undertaking a task Stop and think, before acting. Avoid knee-jerk Reaction: An immediate, unthinking reaction. 5. Be proactive...