Posts

Showing posts from February, 2026

Tafakari

WHY ARE YOU WEEPING? See CA£ST YOUR NET TAFAKARI  Gospel: Matthew 13:44-52 Katika injili ya leo Yesu anatoa mifano mitatu kuhusu ufalme wa Mbinguni.  1. Hazina iliyositirika katika shamba  2. Mfanya biashara mwenye kutafuta lulu nzuri 3. Juya au wavu uliotupwa baharini na kukusanya samaki wa kila namna. Mfano huu tunaweza kuufananisha na kazi ya kuubiri injili. Wakati injili inapohubiriwa huko nje, Kanisani, redioni ama kwa TV inahubiriwa kwa watu wa mataifa yote. Yaani ujumbe huu wa wokovu hauchagui wala kubagua. Mathayo 13.24-43 Katika injili ya leo Yesu anapeana mifano mitatu kuhusu ufalme wa Mbinguni. Magugu na ngano kondeni (amewafafanulia wanafunzi wake kwa kina na kuwaonya wajiepushe na ibilisi aside akawakusanya kama magugu na kuwatupa motoni), punje ya haradali na chachu. Punje ya haradali (mustard seed) Ni mbegu ndogo zaidi lakini ikipandwa na kukomaa, inakuwa mti mkubwa zaidi ya miti yote na ndege wa angani huja na kujenga viota kwa matawi yake. (Kuna mbegu kub...