St Matthias
TUMSIFU YESU KRISTO. CONTRIBUTION TOWARDS FR. VINCENT IRERI'S HOSPITAL BILL AND DEACON JOSEPH LOWOI'S ORDINATION.
AMOUNT: KSHS 200 PER FAMILY.
TREASURER'S No. 0712892742 - BONIFACE NDOLO
1. ANN MWANZIA
2. SIMON & MARTHA
3. JULIUS KYALO
4. ROSALIA & BONIFACE
5. BONIFACE & JOSEPHINE
6. SUSAN & TOM
7. ESTHER WANZA
8. ALEX KIIO
9. PAUL & NORAH
10. ALICE SHIBOKO
11. JOSEPHINE KANINI
12. MIRRIAM & ALEX
13. TINA & MARTIN
14. ANN MUIMI
15. FELISTA KAVWELE
16. FLORENCE KAKA
17. ISAAC & MILDRED
18. SIMON MULWA
19. ALICE WAIRIMU
20. CHARLES NDONYE
21. MARY WANJIRU
22. ELIZABETH KANANU
23. REGINA & GEOFFREY
24. INNOCENT & MERCY
25. GRACE MBURU
26. SELINA MUTUNGA
27. WINFRED NYAMAI
28. CHRISTINE & JOHN
29. PATRICK & EMMA
30. JACINTA & PETER
31. JANET WAMBUA
32. MIRRIAM KANYIVA
33. LYDIA NYAWIRA
34. CHRISTINE ACHIENG
35. PEGGY KAMOTHO
36. GREGORY MUTHIANI
37. RUTH NYOKABI
38. JOSEPH MUSYOKA
39. CHRISTOPHER MUTIE
1. ALEX KIIO
2. ALICE SHIBOKO
3. ALICE WAIRIMU
4. ANN MUIMI
5. ANN MWANZIA
6. BONIFACE & JOSEPHINE
7. CHARLES NDONYE
8. CHRISTINE ACHIENG
9. CHRISTINE & JOHN
10. CHRISTOPHER MUTIE
11. ELIZABETH KANANU
12. EMMA & PATRICK
13. ESTHER WANZA
14. FELISTA KAVWELE
15. FLORENCE KAKA
16. GEOFFREY & REGINA
17. GRACE MBURU
18. GREGORY MUTHIANI
19. INNOCENT & MERCY
20. ISAAC & MILDRED
21. JACINTA & PETER
22. JANET WAMBUA
23. JOSEPHINE KANINI
24. JOSEPH MUSYOKA
25. JULIUS KYALO
26. LYDIA NYAWIRA
27. MARY WANJIRU
28. MIRRIAM & ALEX
29. MIRRIAM KANYIVA
30. PAUL & NORAH
31. PEGGY KAMOTHO
32. ROSALIA & BONIFACE
33. RUTH NYOKABI
34. SELINA MUTUNGA
35. SIMON MULWA
36. SIMON & MARTHA
37. SUSAN & TOM
38. TINA & MARTIN
39. WINFRED NYAMAI
LITANIA YA HURUMA YA MUNGU
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie
Kristo utuhurumie, Kristo utuhurumie
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie
Kristo utusikie, Kristo utusikilize
Baba wa Mbinguni Mungu, Utuhurumie
Mwana, Mkombozi wa dunia, Mungu, Utuhurumie
Roho Mtakatifu Mungu mmoja, Utuhurumie
Huruma ya Mungu, iliyo sifa kuu ya Muumba wetu, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo kilele cha ukamilifu kwa Mwokozi wetu, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo upendo usiopimika wa Roho Mtakasa, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo fumbo lisilofahamika la Utatu Mtakatifu, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo ishara ya uwezo mkuu wa Mungu Mwenyezi, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyofumbuliwa katika kuziumba Roho za Malaika wa Mbinguni, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyotuumba na kutuamuru tuwepo bila kutokana na chochote, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayoshika na kuushikiza ulimwengu mzima, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayotujalia maisha ya kutokufa, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayotukinga na adhabu tunazostahili, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayotuinua tutoke katika taabu, unyonge na maumivu ya dhambi zetu, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayotufanya wenye haki katika Neno aliyejifanya mtu, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayofurika kutoka katika Majeraha Matakatifu ya Kristo, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayobubujika toka ndani ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyotupatia Bikira Maria Mtukufu kabisa awe kwetu "Mama wa Huruma" , Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayoonyeshwa katika Ufunuo wa Mafumbo Matakatifu, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyoonyeshwa katika kuanzishwa Kanisa Katoliki, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayopatikana katika mafumbo ya Sakramenti Takatifu, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayotolewa kwa wanadamu wote kwa njia ya Sakramenti ya Ubatizo na Kitubio, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayotolewa kwa Sakramenti ya Ekaristi na Upadirisho, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayoonyeshwa kwetu pale inapotuita na kutuingiza katika imani Takatifu ya Kikristo, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayotimilika katika ukamilifu wa watu watakatifu, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, chemichemi ya afya kwa wagonjwa na wote wanaoteseka, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo faraja ya wote wenye uchungu moyoni, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo tumaini la roho zinazosumbuliwa kwa mkato wa tamaa, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo mwenzi wa daima na popote pa watu wote, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, inayowahi kutuletea neema zake, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo amani yao wanaokufa, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo burudisho na faraja yao marehemu Toharani, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo furaha ya Mbinguni kwa Watakatifu wote, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, iliyo Taji la Watakatifu wote, Tunakutumainia
Huruma ya Mungu, chemichemi ya miujiza isiyokauka, Tunakutumainia
Mwanakondoo wa Mungu uliyetuonyesha huruma yako kuu katika kuikomboa dunia kwa Msalaba wako Mtakatifu, Utusamehe Ee Bwana
Mwanakondoo wa Mungu unayejitolea kwetu kwa mapendo na huruma katika kila adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu... Utusikilize Ee Bwana
Mwanakondoo wa Mungu unayeondoa dhambi za ulimwengu kwa njia ya huruma yako isiyo na mwisho, Utuhurumie
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie
Kristo utuhurumie, Kristo utuhurumie
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie
K: Huruma anana za Bwana zi juu ya kazi zake zote
W: Huruma za Bwana nitaziimba milele
Tuombe:
W: Ee Mungu, uliye na huruma isiyo na mwisho, hazina za wema wako na upendo wako hazina mipaka. Tunakusihi ututazame sisi watu wako huku duniani, na kutuongezea huruma yako tena na tena, ili itusaidie tusije tukakata tamaa hata mara moja, haidhuru, hata tukikumbana na majaribu makubwa kiasi gani, bali tuweze daima kuzielekea, na kuzishika amri zako kwa matumaini, na kutimiza mapenzi yako matakatifu, ambayo ndiyo "Huruma yenyewe".
Tunaomba hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo, Mwanao Mfalme wa amani na huruma, aishiye na kutawala nawe, na Roho Mtakatifu, kwa pamoja mkituonyesha huruma, daima na milele. Amina.